Walawi 23:27 BHN

27 “Siku ya kumi ya mwezi huu wa saba ni siku ya upatanisho. Siku hiyo ni siku ya kuwa na mkutano mtakatifu. Mtafunga na kutoa sadaka anazotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto.

Kusoma sura kamili Walawi 23

Mtazamo Walawi 23:27 katika mazingira