28 Msifanye kazi zenu zozote za kawaida siku hiyo. Siku hiyo ni siku ya upatanisho, siku ya kuwafanyieni upatanisho mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Kusoma sura kamili Walawi 23
Mtazamo Walawi 23:28 katika mazingira