6 Siku ya kumi na tano ya mwezi huohuo, sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu itaanza. Kwa muda wa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Kusoma sura kamili Walawi 23
Mtazamo Walawi 23:6 katika mazingira