Walawi 25:10 BHN

10 Mwaka wa hamsini mtauheshimu kwa kutangaza uhuru kwa watumwa wote nchini. Mwaka huo utakuwa ni sikukuu ya ukumbusho wa miaka hamsini. Kila mmoja wenu atairudia mali yake na jamaa yake.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:10 katika mazingira