Walawi 25:11 BHN

11 Kwa kuwa mwaka huo, ni wa sikukuu ya ukumbusho wa miaka hamsini, msipande mbegu au kuvuna chochote kiotacho chenyewe wala kuchuma zabibu kutoka miti msiyoipogoa.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:11 katika mazingira