Walawi 25:4 BHN

4 Lakini mwaka wa saba utakuwa ni sabato ya mapumziko rasmi; ni sabato ya Mwenyezi-Mungu. Msipande chochote wala kuipogoa mizabibu yenu.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:4 katika mazingira