Walawi 25:5 BHN

5 Chochote kinachoota peke yake msikivune wala kuchuma zabibu kutoka miti isiyopogolewa. Huo utakuwa mwaka wa kuipumzisha ardhi rasmi.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:5 katika mazingira