Walawi 25:44 BHN

44 Kuhusu watumwa, wa kike na wa kiume, unaweza kuwanunua kutoka kwa watu wa mataifa mengine ya jirani.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:44 katika mazingira