Walawi 25:45 BHN

45 Unaweza pia kununua watumwa kutoka kwa wageni wanaokaa pamoja nawe na jamaa zao waliozaliwa nchini mwenu; nao watakuwa mali yako.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:45 katika mazingira