46 Hao watumwa unaweza kuwakabidhi kwa watoto wako wawe mali yao milele. Hao unaweza kuwafanya watumwa wako, lakini kuhusu ndugu yako Mwisraeli, usimtawale kwa ukatili.
Kusoma sura kamili Walawi 25
Mtazamo Walawi 25:46 katika mazingira