Walawi 25:47 BHN

47 “Kama mgeni au msafiri anayekaa miongoni mwenu amekuwa tajiri na ndugu yako akawa maskini na kujiuza kwa huyo mgeni au huyo msafiri au kwa mmoja wa jamaa zao,

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:47 katika mazingira