5 Kupura nafaka kutaendelea mpaka wakati wa kuvuna zabibu, na uvunaji zabibu mpaka wakati wa kupanda mbegu. Mtakuwa na chakula tele na kuishi kwa usalama nchini mwenu.
Kusoma sura kamili Walawi 26
Mtazamo Walawi 26:5 katika mazingira