Walawi 3:15 BHN

15 na zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya ini, atamtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa kwa moto.

Kusoma sura kamili Walawi 3

Mtazamo Walawi 3:15 katika mazingira