Walawi 3:16 BHN

16 Kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu kama chakula kinachotolewa kwa Mwenyezi-Mungu kwa moto kutoa harufu ya kumpendeza Mungu. Mafuta yote ni ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 3

Mtazamo Walawi 3:16 katika mazingira