Walawi 4:21 BHN

21 Kisha atamchukua fahali huyu na kumpeleka nje ya kambi na kumteketeza kwa moto kama alivyomfanya yule mwingine. Hiyo ni sadaka ya kuondoa dhambi ya jumuiya.

Kusoma sura kamili Walawi 4

Mtazamo Walawi 4:21 katika mazingira