Walawi 4:26 BHN

26 Mafuta yote ya beberu huyo atayateketeza madhabahuni, kama afanyavyo na mafuta ya mnyama wa sadaka ya amani. Kwa hiyo kuhani atamfanyia mtawala ibada hiyo ya upatanisho kwa ajili ya dhambi yake, naye atasamehewa.

Kusoma sura kamili Walawi 4

Mtazamo Walawi 4:26 katika mazingira