Walawi 4:27 BHN

27 “Kama mtu wa kawaida ametenda dhambi bila kukusudia, kwa kufanya kitu kilichokatazwa na amri ya Mwenyezi-Mungu na hivyo akawa na hatia,

Kusoma sura kamili Walawi 4

Mtazamo Walawi 4:27 katika mazingira