Walawi 4:32 BHN

32 “Ikiwa mtu huyo ataleta mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi, basi, ataleta mwanakondoo jike asiye na dosari.

Kusoma sura kamili Walawi 4

Mtazamo Walawi 4:32 katika mazingira