Walawi 4:33 BHN

33 Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha mwanakondoo huyo wa sadaka ya kuondoa dhambi, na kumchinjia mahali pale wanapochinjia wanyama wa sadaka za kuteketezwa.

Kusoma sura kamili Walawi 4

Mtazamo Walawi 4:33 katika mazingira