Walawi 4:4 BHN

4 Atamleta huyo fahali mchanga kwenye mlango wa hema la mkutano, mbele ya Mwenyezi-Mungu; naye ataweka mkono wake juu ya kichwa cha fahali huyo na kumchinja mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 4

Mtazamo Walawi 4:4 katika mazingira