Walawi 4:3 BHN

3 Ikiwa kuhani ambaye amepakwa mafuta ndiye aliyetenda dhambi hata akawatia watu hatiani, basi huyo atamtolea Mwenyezi-Mungu fahali mchanga asiye na dosari awe sadaka ya kuondoa dhambi.

Kusoma sura kamili Walawi 4

Mtazamo Walawi 4:3 katika mazingira