10 Kisha atamtoa yule wa pili kuwa sadaka ya kuteketezwa kulingana na maagizo. Kuhani atamfanyia huyo mtu upatanisho kwa ajili ya dhambi yake, naye atasamehewa.
Kusoma sura kamili Walawi 5
Mtazamo Walawi 5:10 katika mazingira