13 Basi, kuhani atamfanyia huyo mtu ibada ya upatanisho kwa ajili ya dhambi, naye atasamehewa. Unga unaobaki utakuwa wake kuhani kama ifanyikavyo kuhusu sadaka ya nafaka.”
Kusoma sura kamili Walawi 5
Mtazamo Walawi 5:13 katika mazingira