Walawi 5:12 BHN

12 Atamletea kuhani, naye atachukua unga huo konzi moja na kuuteketeza juu ya madhabahu kama sehemu ya ukumbusho, pamoja na sadaka anazotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto. Hiyo ni sadaka ya kuondoa dhambi.

Kusoma sura kamili Walawi 5

Mtazamo Walawi 5:12 katika mazingira