Walawi 5:17 BHN

17 “Mtu yeyote akitenda dhambi bila kujua, kwa kuvunja amri yoyote ya Mwenyezi-Mungu, yeye ana hatia, na atalipa adhabu ya hatia yake.

Kusoma sura kamili Walawi 5

Mtazamo Walawi 5:17 katika mazingira