18 Atamletea kuhani kondoo dume asiye na dosari kutoka kundi lake akiwa na thamani sawa na ile ya sadaka ya hatia. Na kuhani atamfanyia upatanisho kwa kosa alilofanya, naye atasamehewa.
Kusoma sura kamili Walawi 5
Mtazamo Walawi 5:18 katika mazingira