Walawi 6:18 BHN

18 Wazawa wa kiume wa Aroni ndio peke yao wanaoruhusiwa kula sehemu hiyo maana hiyo imetengwa daima kwa ajili yao kutoka sadaka anazotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto. Yeyote atakayezigusa atakuwa mtakatifu.”

Kusoma sura kamili Walawi 6

Mtazamo Walawi 6:18 katika mazingira