Walawi 6:17 BHN

17 Kamwe usiokwe pamoja na chachu. Nimewapa wao sehemu hiyo kutoka sadaka wanazonitolea kwa moto. Ni sadaka takatifu kabisa kama zilivyo sadaka za kuondoa dhambi na za kuondoa hatia.

Kusoma sura kamili Walawi 6

Mtazamo Walawi 6:17 katika mazingira