Walawi 6:16 BHN

16 Unga uliosalia atakula Aroni na wazawa wake makuhani bila kutiwa chachu. Wataula kwenye mahali patakatifu uani mwa hema la mkutano.

Kusoma sura kamili Walawi 6

Mtazamo Walawi 6:16 katika mazingira