Walawi 6:20 BHN

20 “Tangu wakati wa kuwekwa wakfu kwa Aroni na wazawa wake wanapaswa kumtolea Mwenyezi-Mungu kilo moja ya unga laini kwa siku, nusu moja ya unga huo ataitoa asubuhi na nusu nyingine jioni.

Kusoma sura kamili Walawi 6

Mtazamo Walawi 6:20 katika mazingira