Walawi 6:21 BHN

21 Unga huo utachanganywa na mafuta na kuokwa; kisha utauleta ukiwa vipandevipande na kumtolea Mwenyezi-Mungu; na harufu ya sadaka yake itampendeza Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 6

Mtazamo Walawi 6:21 katika mazingira