22 Kuhani aliye mzawa wa Aroni ambaye amepakwa mafuta kushika nafasi yake atamtolea Mwenyezi-Mungu sadaka hiyo; hilo ni agizo la milele. Sadaka yote itateketezwa.
Kusoma sura kamili Walawi 6
Mtazamo Walawi 6:22 katika mazingira