27 Chochote kitakachogusa nyama hiyo kitakuwa kitakatifu; vazi lolote likidondokewa na damu ya sadaka hiyo, basi, vazi hilo litaoshewa mahali patakatifu.
Kusoma sura kamili Walawi 6
Mtazamo Walawi 6:27 katika mazingira