Walawi 6:28 BHN

28 Sadaka hiyo ikichemshiwa katika vyombo vya udongo, vyombo hivyo vitavunjwa. Lakini ikiwa vyombo hivyo ni vya shaba, basi, vitasafishwa na kusuzwa kwa maji.

Kusoma sura kamili Walawi 6

Mtazamo Walawi 6:28 katika mazingira