Walawi 8:14 BHN

14 Kisha Mose akamleta ng'ombe wa sadaka ya kuondoa dhambi, naye Aroni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa cha ng'ombe huyo.

Kusoma sura kamili Walawi 8

Mtazamo Walawi 8:14 katika mazingira