Walawi 8:15 BHN

15 Mose akamchinja huyo ng'ombe, akachukua damu akazipaka pembe za madhabahu pande zote kwa kidole chake kuitakasa. Kisha akachukua damu iliyobaki akaimwaga chini kwenye tako la madhabahu ambayo aliweka wakfu kwa kuifanyia ibada ya upatanisho.

Kusoma sura kamili Walawi 8

Mtazamo Walawi 8:15 katika mazingira