Walawi 8:29 BHN

29 Kisha Mose akachukua kile kidari na kufanya ishara ya kumtolea Mwenyezi-Mungu. Sehemu hiyo ya yule kondoo dume wa kuweka wakfu ni mali yake Mose kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 8

Mtazamo Walawi 8:29 katika mazingira