Walawi 8:30 BHN

30 Halafu Mose akachukua mafuta ya kupaka na damu kutoka madhabahu akamnyunyizia Aroni na wanawe hata na pia mavazi yao. Hivyo Mose akamweka wakfu Aroni na wanawe pamoja na mavazi yao.

Kusoma sura kamili Walawi 8

Mtazamo Walawi 8:30 katika mazingira