Walawi 9:5 BHN

5 Waisraeli wakaleta vyote hivyo mbele ya hema la mkutano kama Mose alivyowaamuru na jumuiya yote ikaenda kusimama mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 9

Mtazamo Walawi 9:5 katika mazingira