Walawi 9:6 BHN

6 Mose akawaambia, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu aliwaamuru mlifanye ili utukufu wake uonekane kwenu.”

Kusoma sura kamili Walawi 9

Mtazamo Walawi 9:6 katika mazingira