2 Fal. 13:8 SUV

8 Basi mambo yote ya Yehoahazi yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na ushujaa wake, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli?

Kusoma sura kamili 2 Fal. 13

Mtazamo 2 Fal. 13:8 katika mazingira