2 Fal. 14:14 SUV

14 Akaitwaa dhahabu yote na fedha, na vyombo vyote vilivyoonekana katika nyumba ya BWANA, na katika hazina za nyumba ya mfalme, tena watu, kuwa amana; akarudi Samaria.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 14

Mtazamo 2 Fal. 14:14 katika mazingira