2 Fal. 19:9 SUV

9 Na aliposikia habari ya Tirhaka mfalme wa Kushi, ya kwamba, Tazama, ametoka ili kupigana nawe; alituma wajumbe kwa Hezekia mara ya pili, kusema,

Kusoma sura kamili 2 Fal. 19

Mtazamo 2 Fal. 19:9 katika mazingira