2 Fal. 9:19 SUV

19 Ndipo akapeleka mpanda farasi wa pili, naye akawafikilia, akasema, Mfalme asema hivi, Je! Ni amani? Yehu akasema, Wewe una nini na amani? Geuka unifuate.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 9

Mtazamo 2 Fal. 9:19 katika mazingira