20 Yule mlinzi akatoa habari, akasema, Amewafikilia wala harudi tena; na mwendo huu ni kama mwendo wa Yehu mwana wa Nimshi; maana analiendesha gari kwa kasi.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 9
Mtazamo 2 Fal. 9:20 katika mazingira