Law. 1:2 SUV

2 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mtu wa kwenu atakapomtolea BWANA matoleo, mtatoa matoleo yenu katika wanyama wa mifugo, katika ng’ombe na katika kondoo.

Kusoma sura kamili Law. 1

Mtazamo Law. 1:2 katika mazingira