Law. 11:34 SUV

34 Kila chakula kilichomo, ambacho ni kuliwa, hicho ambacho maji hutumiwa juu yake, kitakuwa ni najisi; na kila kinyweo ambacho ni cha kunywewa, kilichomo katika chombo kama hicho, kitakuwa ni najisi.

Kusoma sura kamili Law. 11

Mtazamo Law. 11:34 katika mazingira