Law. 11:35 SUV

35 Na kila kitu kitakachoangukiwa na kipande cho chote cha mizoga yao kitakuwa najisi; kwamba ni tanuru, au meko ya vyungu, kitavunjwa vipande vipande; ni najisi vitu hivyo, navyo vitakuwa najisi kwenu.

Kusoma sura kamili Law. 11

Mtazamo Law. 11:35 katika mazingira