Law. 13:49 SUV

49 hilo pigo likiwa la rangi ya majani au jekundu, katika vazi, au katika ngozi, au katika lililofumwa, au katika lililosokotwa, au katika kitu cho chote cha ngozi; ni pigo la ukoma, nalo ataonyeshwa kuhani;

Kusoma sura kamili Law. 13

Mtazamo Law. 13:49 katika mazingira