Law. 19:19 SUV

19 Mtazishika amri zangu. Usiwaache wanyama wako wa mfugo wakazaana kwa namna mbalimbali; usipande shamba lako mbegu za namna mbili pamoja; wala usivae mwilini mwako nguo ya namna mbili zilizochanganywa pamoja.

Kusoma sura kamili Law. 19

Mtazamo Law. 19:19 katika mazingira